Na hii si kwa waajiliwa wa mahakama pekee. Kwa waajiriwa wa mahakama nahisi wanahofia, mahakama imewafukuza halafu tena wapeleke kesi yao ya kufukuzwa mahakamani, mahakama ile ile iliyowafukuza! Sawa na kumpa fisi kesi ya mbuzi aiendeshe. Hata hivyo wanatakiwa watambue kwamba hatakama mahakama ndo iliyowafukuza kazi, usikilizaji na uamuzi wa kesi hautakuwa biased. kawaida mahakama hufuata misingi ya sheria na kanuni kwa hiyo haitakuwa ajabu kujikosoa yenyewe. ukizingatia sana watoaji wa haki, majaji na mahakimu (adjudicators) ni wengine tofauti na wenye mamlaka ya kufukuza waajiriwa hata kama ni ndani ya idara ya mahakama yenyewe.Wale waliofukuzwa kutoka mahakama bila sababu, angalia sheria (case law) inasemaje at your rescue!
Walifukuzwa na Rais, kwa amri ya rais. Court of appeal bado inaaminika. Magufuli hawezi kuilazimisha, wale watakataaNa hii si kwa waajiliwa wa mahakama pekee. Kwa waajiriwa wa mahakama nahisi wanahofia, mahakama imewafukuza halafu tena wapeleke kesi yao ya kufukuzwa mahakamani, mahakama ile ile iliyowafukuza! Sawa na kumpa fisi kesi ya mbuzi aiendeshe. Hata hivyo wanatakiwa watambue kwamba hatakama mahakama ndo iliyowafukuza kazi, usikilizaji na uamuzi wa kesi hautakuwa biased. kawaida mahakama hufuata misingi ya sheria na kanuni kwa hiyo haitakuwa ajabu kujikosoa yenyewe. ukizingatia sana watoaji wa haki, majaji na mahakimu (adjudicators) ni wengine tofauti na wenye mamlaka ya kufukuza waajiriwa hata kama ni ndani ya idara ya mahakama yenyewe.