Mkuu (Mshana Jr) Serikali yetu inajaribu siku zote kuzuia tu, kile kilicho jitokeza ZANZIBAR miaka 20 iliyopita kisijirudie tena...!Wakati si milele... Yasiyowezekanika... Huwezekana pia...
Kenya imetuzindua kwenye usingizi mzito... Nasi tunaweza kuwa surprise ‼️ wao na dunia kwa ujumla kama tukiamua kutoa somo nadhifu sana laMkuu mshana jr Kenya ni habari nyingine lakini sisi huu UdU umeturudisha nyuma miaka zaidi ya 50 KISA watu wanataka kung’ang’ania madarakani milele pamoja na kuwa wameshindwa vibaya sana katika kuiongoza nchi yetu.
Bado tuna nafasi ya kufanya tofauti.... Lakini kama tukiamua kujifunza toka kwa wengineMkuu (Mshana Jr) Serikali yetu inajaribu siku zote kuzuia tu, kile kilicho jitokeza ZANZIBAR miaka 20 iliyopita kisijirudie tena...!
Vinginevyo Marungu yanabaki tu kama mbadala...!
Ipo siku nitakukumbusha..
Ila naona kipengele kigumu wamekivuka.... Yake maneno ya.... Wape bunduki wauane yamezidi kukosa msisimkokwa kweli ni somo ,watu wengi walitarajia mabomu na nguvu za polisi kutawanya mkusanyiko ule ,imekuwa kinyume chake ila kuna kitu will happen ,kwa mujibu wa katiba yao
Kenya imetuzindua kwenye usingizi mzito... Nasi tunaweza kuwa surprise ‼️ wao na dunia kwa ujumla kama tukiamua kutoa somo nadhifu sana la
-kufuta kesi zote za kutengeneza dhidi ya viongozi wa UPINZANI
-kuachana kabisa na biashara ya kununua viongozi wa UPINZANI kwa kisingizio cha kuunga mkono
- kutamka wazi na kwa dhati kabisa kuwa atayeacha ubunge wake ili aunge mkono juhudi na jitihada asitarajie kuwepo na uchaguzi wa marudio
-kuacha uonevu na kuweka mazingira sawa kwa vyama vyote vya UPINZANI
-Tuache maramoja mawazo mtindio ya kutawala (ilipaswa kuongoza) bila kufuata katiba sheria na Kanuni
[emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116][emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Nampa hongera MH.Uhuru Kenyatta. Ndiye rais mvumilivu kuliko wote afrika mashariki. He is the most tolerant president in east africa. Tuna cha kujifunza kutoka kwake pamoja na ukweli kwamba, amezaliwa na kukulia ikulu. He has a lot of lessons to teach us.
Tatizo ni uchwara Mkuu. Huyu mtu ana chuki za kutisha kufikia hata kuanzisha mambo ya kuwateka, kuwatesa na kuwaua Watanzania. Sioni dalili ya huyu mtu kubadilika hata chembe. Mkewe aliona mbali kwamba hakustahili kuiongoza hii nchi kwa kuwa hana sifa hata moja. Sasa Nchi inayumba kwa maamuzi ya ajabu ajabu, chuki, vitisho na visasi yote haya yamezua hofu na taharuki kubwa sehemu nyingi nchini. Ikifikia mtu kudai kwamba anaunga mkono mfumo wa vyama vingi nchini wakati huo huo anafanya kila awezalo hata kukiuka katiba ya nchi kwa kuminya uhuru wa vyama hivyo, Viongozi wake pamoja na wanachama hata kukiuka sheria za nchi kwa kutumia rushwa ya pesa na vyeo kuwanunua wale wenye msimamo wa kuyumba basi ujue mtu huyo ana matatizo makubwa sana.
Tulitakiwa tumuapushe Lowassa kama rais wa mioyo ya watu
mshana jr usijihangaishe na huyu zuzumagic hajui kitu zaidi ya kukebehiYaani wewe na utu uzima wako wote huo unaandika utumbo kias hiki..eti marekani ilitabiri na kwamba ilitaka machafuko.
Unaamini kwa dhati kabisa kwamba kama kweli marekani ilitaka machafuko yameshindikana??
Wakati mwingine muwe na aibu kuficha msivovijua..if Pentagon wanted a blood bath..leo sio tu vurugu ata uyo odinga mwenyew angevunjwa kalio.
Kasome 'hands off eyes on: American Interests Abroad'