Ukweli wa hizi 'generalized' researches ni kwamba zina-rely na kuwa influenced heavily na muelekeo wa researcher. Kaa mtu anataka kuonesha kwamba 'muafrika ana IQ ndogo' atafanya sarakasi zoote za ki-academia au hata zile za porini ili mradi tu afike kwenye conclusion anayoitaka. Mimi binafsi sisumbuliwi kabisa na hawa wanasayansi wa 'kizungu au tuseme kutoka kwa dunia ya kwanza' hususan ktk tafiti za hobelahobela kaa hizi kuhusu watu na tabia zao. Binadamu wana ile tabia ya kutaka kuonekana wa 'maana' , 'wapo juu' au 'ligi nyingine' na utashangaa how extreme people will go to 'prove' this.