Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
South Africa, walitumia kila mbinu kuhakikisha ubaguzi wa rangi unatokomea na uhuru wa kweli na haki zinapatikana kwa waafrica. Baada ya hayo, wazungu walisema kuwa , waafrika haina haja ya kuwamaliza, wapewe mabunduki mengi tu yakutosha watamalizana wenyewe! Sasa wasouth wamefanikiwa kuwabagua wazungu lakini hivi sasa wanawaua waafrika wenzao ambao pia waliwasaidia kupata uhuru! Hivi kweli waafrika hata tulete vyama gani kama akili zetu hazikubadilika tutamalizana kijinga.