Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,479
Asikwambie mtu huku kwetu Afrika hasa kwa sisi weusi dhambi tunazoziona kwetu ni dhambi kubwa si kitu kwa mataifa yalioendelea.
Yaani ukifanikiwa kutumbelea nchi za nje zilizoendelea hasa America au Europe na kupata nafasi ya kwenda nights club zao au sehem za starehe utakutana na vitu vya ajabu ambavyo huku kwetu Africa hakuna serikali itakayoruhusu vitu hvyo vifanyike.
Mwaka huu nilipata fursa ya kwenda Brazil kwa uncle wangu ambae aliondokaga home zamani sana akazamia uko.
Basi siku moja Mjomba akasema twende club moja maeneo ya karibu na anapoishi tukapige mbili tatu, lkn nikichojutana nacho uko ndipo nikaamin Africa hakuna dhambi kabisa.
Nadhan shetani kwa sasa ndio anajaribu kuingia kwetu huku maana kule ameshamaliza kazi yake kitambo sana..

!!
mkuu umeua