Waafrica tupotupo tuuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waafrica tupotupo tuuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, May 28, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Hilo jambo limefumbiwa macho na wakuu wengi wa Africa, kila ikitokea mchina anakuja na idea anapokelewa harakaharaka. Sasa muhindi katia timu na dolabil 5.

  Ipo siku tutajutia kwa haya tunayofanya, siamini kama hawa jamaa wanatupenda saaaana mpaka waje kutupa mikopo halafu kuleta makampuni yao hapa, kuna mtego mkubwa ambao hakuna Mwafrica mwenye uwezo wa kuuona.

  Inakuwaje India yenye povert kubwa kuliko iliyo Africa waseme wanakuja kutusaidia? Y

  aani hapa naona nyota nyota kama jina la kabila fulani hapa tanzania
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimejiulza sana hlo jambo,na kwa bahat nzuri nilimskia wazir mmoja huko kenya akiwasifia wahndi!kuwa watatusaidia sana.!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  jibu ni moja tu wanafuata utajiri wa nchi yetu. madini mafuta mbao lkn sisi hatuvioni
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sure.....
   
 5. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Sa sisi kama tumelala, wafanye je? tunazuia hata watanzania wenzetu walioko nje ya nchi eti watafaidika, sasa mnataka nini?? tulizuia move ya Membe. Sasa mnataka watu kutoka wapi?
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,568
  Likes Received: 12,835
  Trophy Points: 280
  Hili ni shamba la bibi
   
 7. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Waafrika ndio kwanza wanaanza kulala, malumbano tu na fitina kila siku, dunia inaenda spidi balaa, sisi tunaanza kulala
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Africans is all talk. talk and talk.Sie wenyewe kama wanaJF tunafanya nini, tunachukua hatua gani kuchukua hatima ya vizazi vyetu mikononi mwetu? kila mtu ajibu hili kwa wakati wake.
   
Loading...