Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,319 Reaction score 3,432 Aug 23, 2021 #1 Wajumbe heshima kwenu, nina shida na biti ya waah ya nyimbo ya dangote x kofi,yeyote mwenye nayo please ashare na mimi au anipe link ila nahitaj orignal sihitaj remake,naona mtandaon nying zipo remake Natanguliza shukran
Wajumbe heshima kwenu, nina shida na biti ya waah ya nyimbo ya dangote x kofi,yeyote mwenye nayo please ashare na mimi au anipe link ila nahitaj orignal sihitaj remake,naona mtandaon nying zipo remake Natanguliza shukran