JF ina member dunia yote, nakwenda Mumbai kwa Trainining lakini kama kawaida ya ushamba nitatamani nifika sehemu sehemu hasa za shopping hivi , kwa wale walio Mumbai karibuni katika uzi huu mnipe hints
Mhh mtu aikuiza nakwenda Dar es salaam kwa mara ya kwanza , maeneo gani naweza nunu smart phone bei nzuri au maeneo gani naweza kula Italian dishes ( mfano) ana hatari gani hapo..... kuna shopping kama za karume au Tandale sio rahisi kuzikuta kwenye city maps, hizi yataka wenyeji kidogo.... ndio maana yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.