Wa mikoani.

Wa mikoani.

Dar?Dar ni mji mkuu wa Tanzania na Dodoma n makao makuu ,Ninyi wa mbeya,iringa,kilimanjaro,sijui wapi simiyu wote ni wamikoani tu,Ninyi wa ..ee.. bac msije mkanipiga makofii..amkawii ninyi
mmmh kazi tunayo!
wacha nijaribu kutoa darasa kidogo hapa. mkuu Dar es salaam ni mkoa mmojawapo kati ya mikoa 30 iliyopo hapa nchini kwetu Tanzania.
neno mkoani ni kielezi cha mahali kilichotokana na nomino mkoa.
kwa mantiki hiyo hata watu wa dar wapo mkoani.

 
kama inakuuma kuitwa wa mkoani....njoo upambane na jua la huku ndio utaelewa tofauti ya dar na mikoani

#kunjani kuti
 
Kwahiyo dar sio mkoa???

Mbona katika idadi ya mikoa Tanzania , dar na arusha zimo????
Mzee huyu Emanuel14 akikujibu unistue na mimi nimswalike mbona hakuna mkuu wa jiji bali kuna mkuu wa mkoa na ofisi za mkoa?
cc mzaramo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom