Habari zenu wana bodi;
Imekuwa jambo la kawaida kwa wakazi wa dar kuita nje ya dar mikoani.
Je! dar ni wilayani, kwahiyo nje ya dar ni mkoani???
Bado sijaelewa nini mantiki ya hilo neno.
Naombeni ufafanuzi tafadhali...
mimi mtu akishasema ooh nilisafiri nilikwenda mkoani sijui huwa namuonaje!! hana tofauti na wale wanaosema nimekudeep lakini hukupokea yaaani aghhhh!!! watanzania wengi ni wajinga hatupendi kujifunza vitu vipya.
nimekudeep
daah mkuu we ni noma hadi umepiga mtu?nimeshawahi kumnasa mtu vibao kwa kauli hii.
unataka kujua wapi huko?
(gugo,Ngwinde!)
mimi mtu akishasema ooh nilisafiri nilikwenda mkoani sijui huwa namuonaje!! hana tofauti na wale wanaosema nimekudeep lakini hukupokea yaaani aghhhh!!! watanzania wengi ni wajinga hatupendi kujifunza vitu vipya.
ni kawaida tu tulishaga jizoelea wenyewe na misemo hiyo na tunajivunia kuwa watu wa mikoani mfano mi nipo Iringa niitwa wa mkoani mi naona poa tu maisha yanasonga tu hamna noma
Habari zenu wana bodi;
Imekuwa jambo la kawaida kwa wakazi wa dar kuita nje ya dar mikoani.
Je! dar ni wilayani, kwahiyo nje ya dar ni mkoani???
Bado sijaelewa nini mantiki ya hilo neno.
Naombeni ufafanuzi tafadhali...
ni kawaida tu tulishaga jizoelea wenyewe na misemo hiyo na tunajivunia kuwa watu wa mikoani mfano mi nipo Iringa niitwa wa mkoani mi naona poa tu maisha yanasonga tu hamna noma
hii hata Urusi kama hutoki Moscow baci wewe ni from the provinces