barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,730
Habari zenu!
Kwa wale wa kuja, hasa wanaume wa mikoani, nawasihi mpige picha ktk maeneo haya ya Dar kama ukumbusho mtakaporudi bushi, endapo hamta nogewa na kusahau kwenu.
Mimi si mzaramo, ila nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa pia nimesoma mikoani. Hivyo najivunia Dar.
Kwa wale wakuja, ili ujulikane kuwa ulikuja Dar, na umetembea Tanzania, hakikisheni mnapiga picha mnapokuwa Dar ktk maeneo haya:
1. Mnara wa askari,
2. Mnara wa saa,
3. Coco beach,
4. Uwanja wa taifa wa mpira,
5. Ukiwa ktk ferry na magorofa ya mjini Dar yakionekana nyuma yako ktk picha,
6. Daraja la Manzese,
7. Ndani ya Dala dala na nje ya daladala na ionekane ni daladala ya kwenda wapi,
8. Jengo la Tazara,
9. Daraja la Kigamboni,
10. Muhimbili hospital,
11. Julius Nyerere International Airport,
12. Ndani na nje ya treni ya Mwakyembe, etc
Kwa wale wanadar es salaam mnaweza ongezea baadhi ya maeneo! Licha ya mimi kuwa mkazi wa Dar, nimepiga picha haya maeneo yote na nikiziangaliaga huwa nafurahi sana. Ni kumbukumbu nzuri.