Wa Marangu!

hao mbona tuna waita njoo...yani waosha ulezi
 
Katafute kingne cha kuandika,
 
nan kakwambia weee! Pumbavuuuu! Hakuna kitu kama icho. Alafu hacha tabia za kihaya kuongelea makabila
 
Katafute kingne cha kuandika,

Sasa wewe ndio umeandika nini hapa unavyosema kuwa nikatafute kingine cha kuandika? kweli nyani haoni kundule
 
nan kakwambia weee! Pumbavuuuu! Hakuna kitu kama icho. Alafu hacha tabia za kihaya kuongelea makabila

Wewe mrefu hata kiswahili hujui kuandika na unaniita pumbavuuu, we ni mbwea na huna akili au we ni mrefu kwa kwenda chini? kama kabila liko juu liko juu tu kama vipi kwea ukazibe mang'aa we
 
unachafua hewa ya JF wewe na acha Umanguro!

Wewe dogo usifundishe baba jinsi ya kutengeneza watoto! sasa we unaongea nini na ndio kwanza una post 22, dont be funny
 
Punguza hasira mkuu.
 
Mod nini kinaendelea hapa!!!!!!! Ok kumbe ni lile jukwaa letu, ni powa kabisa.
 
unachafua hewa ya JF wewe na acha Umanguro!

Wewe kifulambute, wewe mwenyewe hewa chafu alafu unaongea nini? acha kuingia choo cha kike mbona post zingine hata haziwahusu mnadandia tu?
 
Ernie "Ukisha vuta Bangi" zako usiingie humu,hiyo ni Bangi inakuongoza!!!
 
Ernie "Ukisha vuta Bangi" zako usiingie humu,hiyo ni Bangi inakuongoza!!!

Maarko unanitukana? eti kwakuwa nawafyagilia wachaga? nyie mbona wachawi ivi? yaani mtu kama wewe ndio ungezaliwa kijijini ungekuta wameshakuua kwa ajili ya uchawi unaonesha tu kuwa we ni kigagula japo upo danta
 
Kwanini wachaga wa Marangu ni Bab kubwa/wajanja/waelewa kwa ufupi wako juu sana?

Hata mie nakubaliana na wewe kaka. Hawa jamaa ni wataalam wa kupiga mizinga ( wezi) ile mbaya. Wanaume wana maringo haijawahi kutokea. Wakina dada ndo usiseme kabisa. Ni kunata tuuu!
 
Kwanini wachaga wa Marangu ni Bab kubwa/wajanja/waelewa kwa ufupi wako juu sana?

Hata mie nakubaliana na wewe kaka. Hawa jamaa ni wataalam wa kupiga mizinga ( wezi) ile mbaya. Wanaume wana maringo haijawahi kutokea. Wakina dada ndo usiseme kabisa. Ni kunata tuuu!
 
Ernie "Ukisha vuta Bangi" zako usiingie humu,hiyo ni Bangi inakuongoza!!!

kwel co bangi tu hata cha kuandika hana alafu ukitaka kumuona hana akili timamu unamueleza ukwel bado anabisha huyu c mpuuzi huyu yan hafikirii kabisa. Yan huu ni Umpumbavu mtupu hebu kuwa mtu mzima acha tabia za kitoto unapoelezwa sio vizur na ukubal co vzur unatetea ujinga Pumbavuuuu...
 
mmmmmhhhhh hii sijaipenda hata kidogo...then we better think what to write n bring here to discuss sio ivi vya kikabila wala kidini..pole zako kwa fikra ulizonazo.now days hakunaga vitu vya namna hii aisee.
 
Hata mie nakubaliana na wewe kaka. Hawa jamaa ni wataalam wa kupiga mizinga ( wezi) ile mbaya. Wanaume wana maringo haijawahi kutokea. Wakina dada ndo usiseme kabisa. Ni kunata tuuu!

Ebwana eeeeeeh! duh GMosha umeongea mwanangu yaani wewe ndio unajua ukweli wa mambo sio hawa jamaa wengine wanaongea pumba tu
 
mmmmmhhhhh hii sijaipenda hata kidogo...then we better think what to write n bring here to discuss sio ivi vya kikabila wala kidini..pole zako kwa fikra ulizonazo.now days hakunaga vitu vya namna hii aisee.

Sasa we unaejiita mtoto mpole au sjui ndio mtoto wa watu yaani unapakatwa ama ni nini! sasa kama hujaipenda unachangia kitu gani si ukae kimya, kwani unaona ni watu wangapi wameangalia hii mada bila kuchangia? wewe unajiona mwereeeeeeeeevu kuandika huu utumbo wako, kwa taarifa yako wewe ndio una fikra mbovu na potofu, mata*o we!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…