Wa kulipa mnapotoka out

Nakubalina na wanaosema kuwa anayepropose outing inabidi ajiandae kulipa,akisaidiwa si vibaya.
 
Mdogo wangu jrnedy wasikutishe kina Ciello na lara 1 siku hizi ni HAKI sawa kwa wote. Ukienda na mtu mtoko full kushare the Cost..sasa kwani kuna hela zimeandkiwa eti hizi za mwanaume au hizi za mwanamke??...Mie nikimpa kidate mdada ajue tutachangishana..maisha yenyewe yako wapi sikuizi....
 
Last edited by a moderator:
Ciello me wala sina tatizo dada yangu. Me wangu tunaelewana mpaka sikuwahi kufikiria hii kitu. Kuna Mshakaji wangu kafanyiwa 'unyama' imeniuma. Ikanifanya nifikiri huu utaratibu wa kulipa ukoje. Utanisamehe Siwezi kuweka mazingira halisi hadharani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…