Mimi kwa kweli SILIPIIIIIIIIIIIII!!!!!!!! NAKABA HADI PENALTY!!!!!!!!( PERDON MY MANNERS) Mfumo Dume huu, we mwanaume hushtuki KULIPIWA WEYE!!!!!!! Fahari ya uanaume wenu ya kutake care of ya girl IKO WAPI THESE DAYS!!!!!!!!!??? Mwanaume wa kweli analipa bili yote, hela ya tax, Supu asubuhi kutoa hangover na Keepchange juuuu.(Kama ndo umeenda KUTIA HASARA linakushuka shuuuu!)
Afu wanaume kuna mbinu za kukwepa bili ni OUTDATED kwa kweli, 1.Kwenda chooni ukihisi bili yaja, 2. Kujifanya umesahau wallet nyumbani 3. Kuanza kumkopa/kumpiga mzinga demu kabla bili haijaja ili ikija iwe penalty alipe tuuu, Mkimkuta mtu unamjua afu yuko poa basi ndo kumganda kama LUBA ili apunguze shoti ya bili.
Mbinu yenu hii mpya Mabachelor imenichoshaaaaaa! Tkutane wapi 1st date? Njoo nyumbani kwangu hapa upike NDIZI (Utomvu si mchezo) NYAMA, tutapata mprivacy zaidi, we will talk a lot na kusocialize. Tuepuke mafoleni, afu vyakula vya kununua si vizuri. ( Kwa watu wanaojielwa unaona he is serious jamani, soo soon ananipeleka kwake!!!!!?, KWA SIE WA KINO USHAKOPWA HAPO!!!!!!)[/QUOTE]
khaaa, mrembo una vituko/balaa zote wewe, nimecheka mpaka basi, ngoja nikanywe mbege mie nipunguze uchovu wa majukumu, khaaa wewe mwali akili zako zinakutosha mwenyewe kabisaaaaa