cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,631
Wana CCM tusitafute mchawi wa kwanini tunendelea kupoteza. Waliotuponza ni hawa:
- Anna Makinda - Spika aliyehakikisha bunge linalinda masilahi ya serikali kwa kuzima hija za msingi na kuwaksirisha wapiga kura wetu.
- Wabunge wa vitu maalum wa CCM kwa kura zao za ndiyoooo kwa maamuzi yasiyona maslahi kwa taifa. zilikera sana wananchi.
- Taasisi ya rais na rais mwenyewe kwa kupuuza maazimio ya bunge yaliyomuhitaji katika utekelezaji wake.
- Samwel Sitta na team yake akina Lukuvi na Wasira kukanyaga maoni ya wananchi ya katiba mpya.
- Majina ya mfukoni ya ugombea urais
Umewasahau Hawa
* nanii na wenzake kwa kuwaporomoshea mitusi ya laana wabunge wa upinzani na kusababisha kuundwa kwa umoja wa katiba ya wananchi, ukawa.