mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,585
- 2,054
Mkuu, kwani ndugu yenu Lowasa si kahamia UKAWA? Sasa si muende kuungana naye kuliko kujipakazia kuwa wana ccm??
Kaa kimya,subri dawa ikuingie.
Mkuu, kwani ndugu yenu Lowasa si kahamia UKAWA? Sasa si muende kuungana naye kuliko kujipakazia kuwa wana ccm??
Makinda ndie aliyechafua hali ya hewa kuliko wote..........
Hivi mama Maria Nyerere aliwahi kushika ama kugombea nafasi yoyote serikarini?
Wana CCM tusitafute mchawi wa kwanini tunendelea kupoteza. Waliotuponza ni hawa:
- Anna Makinda - Spika aliyehakikisha bunge linalinda masilahi ya serikali kwa kuzima hija za msingi na kuwaksirisha wapiga kura wetu.
- Wabunge wa vitu maalum wa CCM kwa kura zao za ndiyoooo kwa maamuzi yasiyona maslahi kwa taifa. zilikera sana wananchi.
- Taasisi ya rais na rais mwenyewe kwa kupuuza maazimio ya bunge yaliyomuhitaji katika utekelezaji wake.
- Samwel Sitta na team yake akina Lukuvi na Wasira kukanyaga maoni ya wananchi ya katiba mpya.
- Majina ya mfukoni ya ugombea urais
Makinda ndie aliyechafua hali ya hewa kuliko wote..........
Mkuu, kwani ndugu yenu Lowasa si kahamia UKAWA? Sasa si muende kuungana naye kuliko kujipakazia kuwa wana ccm??
Huko CCM Lowassa ana watu wengi kuliko MAGUFULI, si kila anayempenda LOWASSA aliondoka naye, wengine walibaki kwa sababu maalum.Mkuu, kwani ndugu yenu Lowasa si kahamia UKAWA? Sasa si muende kuungana naye kuliko kujipakazia kuwa wana ccm??
Makinda ndie aliyechafua hali ya hewa kuliko wote..........
Hakuna sababu ya kulaumiana... Hii ni demokrasiapamoja sana
R.I.P fisiem,hizo push up tutakuwa tunaanda tamasha maalum la push up na kupiga tumba mgeni rasmi mh raisi Mamvi a.k.a Eddo ata padlock alcoholic analijua.
Mkuu, kwani ndugu yenu Lowasa si kahamia UKAWA? Sasa si muende kuungana naye kuliko kujipakazia kuwa wana ccm??
Mkuu, kwani ndugu yenu Lowasa si kahamia UKAWA? Sasa si muende kuungana naye kuliko kujipakazia kuwa wana ccm??
Mi mwenyewe na mwenyekiti wangu J tumebaki kimkakati ili tukiuwe chama vizuri,mnaofikiri kitashinda mnapoteza muda wenu bure.Huko CCM Lowassa ana watu wengi kuliko MAGUFULI, si kila anayempenda LOWASSA aliondoka naye, wengine walibaki kwa sababu maalum.