wa kuja kigoma niende tabora

wa kuja kigoma niende tabora

junes

Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
20
Reaction score
2
Njoo kigoma uvinza nije kigoma wilaya yoyote 0762888655 idara msingi
 
Yani kigoma watu hawataki kuja kuna shoga angu yupo kbnd anataka kwenda mwanza tangu tumeanza kutangaza
 
Yani kigoma watu hawataki kuja kuna shoga angu yupo kbnd anataka kwenda mwanza tangu tumeanza kutangaza

Nani atoke Mwanza aende Kigoma.Bora hata angetaka kubadili na Songea hivi au Rukwa ,au Lindi
 
Back
Top Bottom