Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Mi nilivyozoe Jf kiujumla hua hapapiti mabreking newz nchini hapa yakapita juukwaju.
Sasa tukio liliotokea hivi majuzi baada ya bwn mmoja kumlamba mke wa mtu.
Mwanaume huyo baada ya tendo kiume hakikurudi kulala kama ilivyo ada.
Mtarimbo ulimsimama kwa siku 15 ndipo nduguze walipokwenda nae Clouds Fm, kutafuta msaada. Wakiongea kwa kuonesha mikato ya tamaa nduguze walisema washampeleka hosp akachomwa sindano , na kuweka barafu but havikusaidia kitu kikabaki kimestiki .
Wakadai wameambiwa na baadhi ya watu kwamba tego la kiivo wataalamu wateguzi wanapatikana Tanga.
Kuna waliopiga simu Clouds wakisema huo haukua uchawi , bali ni ugonjwa huwaga upo.
Pia ikasemwa kilichomsaidia kua hai hadi kufikia muda huo ni kwa vile anakojoa japo kwa mbinde , othewise angekwisha Rip.
Wakati mimi napishana na Radio niliacha Dinnah Mario akijitihadika kumtafuta Dr Isack wa (Njia panda) aisemee hali hiyo kitaalamu.
Naskitika sikuwahi kumsikia Dr akisemaje.
Aidha niliburudanika kuona tatizo la mtarimbo wa huyu mtu kua vile, kwa Gea Habibu ikawa deal ya kuandaa kipindi (Hekaheka).
Wadau nachohitaji ni mnichangie ufahamu hivi duniani ugojwa wa hivi upo?
Au ni mpaka urogwe?
Aidha naona members wa cc mmedororeka kufatilia matukio! Huko nyuma hamkua hivi !