W. Malecela na Nape mnaiua CCM, Chama siyo mali yenu

wee jamaa kichwa maji kweli.. kwaio unakubali kuwa ccm imeoza ndio maana Nape alipambana nao?? kichwa maji aisee. Nani kakwambia kuwa kitu kikioza kinaweza kurudia kuwa fresh?? ubaya wa pro-ccm ni vichwa maji kwaio cdm wamepata pa kutokea
Ccm imeoza mkuu
Hawa ccm wehu
 
- Le Mutuz huwa ni mtu wa kusema ukweli na huwa hachagui Kiongozi wa kumpa ukweli, Kuna wakati Slaa alikuwa na hoja nzito za kulisaidia Taifa, yes alikuwa anamuunga mkono kwa hoja lakini sio kwa Slaa as Slaa, Majuzi tu hapa tumeona Le Mutuz akimchana Mukama, na mpaka magazeti ya bongo Kuibeba ile habari toka na kuiweka kila mahali na leo Mukama sio KAtibu tena wa CCM meaning kwamba CCM wana Tabia za kusikiliza wakiambiwa ukweli, sawa sawa na hata kwa Rais wa Jamhuri Le Mutuz hajawahi kum-spare hasa huko nyuma, matokeo leo Rais amefanya mabadiliko mengi sana ambayo yanatia moyo na infact mpaka leo ameifunika Chadema imekuwa kama imekufa, Le Mutuz hawezi kumsifia Slaa kwa kuwa na kadi ya CCM huku anailipia kila mwezi, wakati ni Kiongozi wa Chadema, hilo knowing as I do hawezi na ndilo hasa linalokuuma mleta Mada, ni kwamba wewe ni Chadema sasa the idea kwamba Slaa Rais wako ana kadi ya CCM na anilipia kila mwezi limekushangaza sana na kwa sababu Slaa ndiye tegemeo lako kushika power bongo, huamini kwamba unaweza kumrekebisha Slaa, sisi CCM tunarekebishana sana na tunaambiana ukweli all the times!, Mnasema maneno mengi sana kuhusu LE Mutuz lakini ukweli ni kwamba he seems to be bigger than you all in this game of social media kwa sababu badala ya kujibu hoja kwa nini Slaa ana kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, badala yake mnatafuta uchawi wa kumsingizia Le Mutuz, inashangaza sana kwa Great Thinkers ambao wengi wenu mmeaamua kwamba ni Chadema wa damu, hoja ndogo tu hizi zinawatisha mnakosa hata utu wala uvumilivu? Sasa mkipewa nchi itakuwaje?

- Mh. Nape, na yeye pia siku zote hajawahi kujikomba kwa mtu alipokuwa anapigana na mafisadi haikuwa kwa sababu anawaunga mkono Chadema, naona nyinyi kiongozi yoyote wa CCM akipigana na uozo ndani ya CCM mnadhani anawaunga mkono, no ni mawazo potofu sana na ndio maana sasa CCM imekaa vizuri na kuwa na umoja wa ajabu sasa mnhangaika kila mahali hamjui la kufanya, Nape ni Kiongozi wa Taifa wa CCM so is Le Mutuz, sasa naona mnakwazika kwa sababu ambazo hazina hata msingi, teteeni hoja au sera za chama chenu lakini sio kutafutana na personal kama mleta mada unavyofanya, ni dalili za ukoseavu wa ukomavu wa kisiasa, Nape amekuwa mwiba sana kwenu kwa sababu mlizoea siasa za kutukana bila kujibiwa sasa mnajibiwa tena kwa lugha mnayoijua vizuri mnaanza kulia lia kama watoto wadogo, tulizeni boli, CCM haitakuwa kama zamani tena, sasa ni hoja kwa hoja na viroja kwa viroja!!

- Again, mtoa mada umeonyesha uoga wako kwamba unawaogopa hao wawili, kama nilivyoema juzi tupo kwenye vita vy akitikadi sasa kama huwezi kutetea chama chako kaaa pembeni waachie wengine lakini usilete kulia lia hapa hakuna wa kukusaidia, wembe ni ule ule na sisi wengine tunaounga mkono CCM tutaendelea kama kawaida CCM ikikosea tutaichana na Chadema ikikosea tunaichana hakuna msamaha hapa,

- now again Slaa as Kiongozi wa Chadema kuwa na kadi ya CCM na kulipia kila mwezi ni makosa makubwa sana amepoteza moral authority ya kuongoza, sasa uamuzi ni wenu kuendelea kumtetea au kumwambia ukweli airudishe, sisi hatutaki ajiuzulu hapana maaan hakutakuwa na mwingine huko wa kuwaongozeni we know that, na sisi tunataka chanagamoto za kutusaidia CCM, maana sometimes huwa ana hoja nzuri kwetu CCM, lakini kwa hili la kuwa na kadi ya CCM amechesha big time, dawa ni kuirudisha kadi ya CCM now kabla it is too late!!

- KIDUMU CCM!

eS!
Ungejua Lowassa anasema nini juu yako.... unge-shut up!
 
Nasikia huyu jamaa na Mtani wangu, ana mtoto Mkubwa tu na Kigogo fulani ndani ya CHADEMA.....

mwandosya.jpg
Kweli CHADEMA ina kasheshe......
 
🤣 mitandao bwana,kweli wajinga ndo waliwao.
 
Nasikia huyu jamaa na Mtani wangu, ana mtoto Mkubwa tu na Kigogo fulani ndani ya CHADEMA.....

mwandosya.jpg
Kweli CHADEMA ina kasheshe......
Mzee Mussa alibambikiwa tu huyu ndiye biological father wa huyu mzee wa goli la.mkono
 
Back
Top Bottom