Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Picha pls
 
Mkuu, kuna watoto humu lazima watakukisea adabu kwa kupigia nyeto huu Uzi, alafu wanaunganisha na hiyo avatar.
Ohhhppppssssss...... Leo nimechelewa kwenda kanisani
 
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.
Kila ninapooga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom