Vyuoni wanaume mumezidi badilikeni

Vyuoni wanaume mumezidi badilikeni

Wakati wanaupokea huo ushauri nanyi ke mbadilike sio kuachia hovyo hovyo kisa uko huru na unajidhania umeanza maisha yako.... kitabu kinasomwa mpaka kurasa zinabadilika rangi!

Hakuna binadamu wanaotoa mimba kama hutu tusichana twa chuo...ukipona hapo unageuzwa chanzo kikuu cha single mothers. baadae mnakuja kuanzisha thread za kiajabu ajabu.

HIV na upuuzi mwingine, unawaandama sana kwa sababu hamna maamuzi sahihi kila kitu msaidiwe, mpaka kufikiri na kuamua kuhusu maisha yenu????
 
Wacha wale ujana, ili wakifika uzeeni watulie, wasije ruka step, wakayafanya haya muda ambao watashangaza jamii, hahah.
 
Hahhahahaa umejuaje kma wanafanya mambo ya ajabu kama ni discusion je au mtu na ndugu ake kama ulisha wahii kuingia labda
 
Wakati wanaupokea huo ushauri nanyi ke mbadilike sio kuachia hovyo hovyo kisa uko huru na unajidhania umeanza maisha yako.... kitabu kinasomwa mpaka kurasa zinabadilika rangi!

Hakuna binadamu wanaotoa mimba kama hutu tusichana twa chuo...ukipona hapo unageuzwa chanzo kikuu cha single mothers. baadae mnakuja kuanzisha thread za kiajabu ajabu.

Kumbuka msichana anakiachia akijua yupo peke yake
 
Wacha wale ujana, ili wakifika uzeeni watulie, wasije ruka step, wakayafanya haya muda ambao watashangaza jamii, hahah.

Kwa hali hiyo hawatafika uzeeni ata 30 itakuwa hard
 
Hahhahahaa umejuaje kma wanafanya mambo ya ajabu kama ni discusion je au mtu na ndugu ake kama ulisha wahii kuingia labda

Utu uzima dawa na kama wew unadiscusig may be ila hamna discusion ambayo ikiisha me na ke wanaenda kuogeshana
 
Kwa nini mmeacha mbinu za mama zenu? Unamtongoza msichana two years ndio anaamini upo serious ....leo hii tunakutana kwenye dala dala toka manzese tukifika kariakoo ushakubali kuingiliwa kweli!!!?
Kumbuka msichana anakiachia akijua yupo peke yake
 
Acha mbwembwe huo utu uzima ulio nao ni upi kwa avatar ya hiyo!!! hahahahaha natania mkuu
Utu uzima dawa na kama wew unadiscusig may be ila hamna discusion ambayo ikiisha me na ke wanaenda kuogeshana
 
Hongera,umemalza kaz yako na kwa MUNGU umenawa. Wenye hekma na kujua atokapo na anafanya nini amejifunza,
 
aaah hahaha.. hapana labda kama unavigezo sawa na vya mke wa 1st AID hapo toharani patanihusu...lakini hivi hivi NO...
Hahaha iyo pic najua imekuchomaa na utafanyiwa ivyo
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwenyewe nipo chuo flani, hosteli flani, nina demu, but nakupenda saana cute b
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom