M mdau wetu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 548 Reaction score 62 Jun 26, 2012 #1 Wadau wa JF habari zenu! natafuta vyuo vya uandishi wa habari pale Dar tafadhali kwa mwenye kufahamu anijuze pamoja na gharama zake. natanguliza shukurani.
Wadau wa JF habari zenu! natafuta vyuo vya uandishi wa habari pale Dar tafadhali kwa mwenye kufahamu anijuze pamoja na gharama zake. natanguliza shukurani.
M Mnyasambo Member Joined Apr 10, 2012 Posts 68 Reaction score 7 Jun 27, 2012 #2 weka pics, specs and prices unacomplicatisha nn?