vyuo vya ualimu

Wa2 wanalalamika mishahara ya ualimu haitoshi, nawe wataka kujiunga huko kwenye dhiki.
 
sasa hvi wa2 wanaangali wapi kwenye maslahi zaidi, nibora ukapata hicho hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, 2meona wa2 wangapi NA ma degree yao wameishia mtaani , mi nadhani EDUCATION IKOPOWA
 
sasa hvi wa2 wanaangali wapi kwenye maslahi zaidi, nibora ukapata hicho hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, 2meona wa2 wangapi NA ma degree yao wameishia mtaani , mi nadhani EDUCATION IKOPOWA

well said mkuu! Kitaa kunatisha sana! Kuna jamaayangu amemaliza degreeyake huu mwaka wa3 hajapata kazi!
 
hapo kweli education pouwa japo mshahara mdogo ajira zinakuwepo sio uwe na degree halafu ushinde mitaani bora ukasome ualimu upate hicho hicho kidogo
 
Haya jaman ile siku imefika matokeo ya waliochaguliwa vyuo vya ulimu yako hewani ndugu zangu chekin by tin boy.
 
Onesha wap 2angalie bhana 2mechoka kukaa mtaani mi nimeomba special needs education patandi .
 
Back
Top Bottom