vanchenya9
Member
- Oct 9, 2016
- 21
- 8
Naombeni msaada nataka kujua kuna vyuo vingapi vinatoa elimu ngaz ya cheti ktk sekta ya afya hasa course ya nursing na mkoa gani kipo naomba ushilikiano wenu nami nijue kuna mdogo wangu ana div 3 sasa nataka aende kusomea nursing.