Vyuo vya clinical medical vya serikali

Vyuo vya clinical medical vya serikali

sima salva official

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
210
Reaction score
90
Naombeni mnisaidie vyuo vya clinical medical vya serikali nina ufaulu wa c kwa chemistry B biology,c math na D physc na B ya english
 
Vingi tu mkuu, ingia NACTE utaviona... kwanza mpaka mda huu ulikuwa unasubiri nn kuomba kwa ufaulu mzuri kama huu... au unataka mpaka dealine
 
Asee wenye experience kuchaguliwa na nacte, watu gani wanapewa vipaumbele kati ya form six leavers na O level leavers ili wachaguliwe
 
Back
Top Bottom