Vyuo vya afya...certificate na diploma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo vya afya...certificate na diploma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by zethumb, Sep 21, 2012.

 1. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Wasalaam wana JF! ni muda sasa Wizara ya Afya ilitangaza course za afya ikiwa ni diploma na certificate, je kuna chochote kimejiri kuhusu applications zilizotumwa kwenye kanda mbali mbali? naomba kufahamishwa hizo applications zimeishia wapi na kama walisha achia majina ya waliofanikiwa!
  Nawasilisha.
   
 2. e

  emmanuel magige Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mie cjui hayo matokeo wanatoa lini kwan walisema chuo wanafungua mwez wa kumi mwanzo mpaka leo kimya. Km kuna taarifa zzt wadau 2peane?
   
 3. Advicer

  Advicer JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kuna tetesi yanatoka tar 15 mwez wa kumi.
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Ni muhimu katika kila mpango uwe na PLAN B, nakushauri ufikirie pia kurudia mitihani yako ya F.VI au F.IV kwenye hivi vyuo vya certificate na diploma watu ni wengi sana wanapakimbilia,
   
 5. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,428
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Watatoa Matokeo tar 15 oct
   
Loading...