Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 940
Unique Academy sikuhizi hamna kitu, walimu wanabebeshwa vipindi, theory kibao practice hamna sana maana walimu wengi wale competent wameondoka. Msipoteze muda kwenda hapo.
Kwa hiyo unashauri waelekee wapi?Unique Academy sikuhizi hamna kitu, walimu wanabebeshwa vipindi, theory kibao practice hamna sana maana walimu wengi wale competent wameondoka. Msipoteze muda kwenda hapo.
Akakomae DIT japo masuala ya IT na programming yahitaji msuli binafsi, YouTube sana, Google sana...Chuo labda cheti tu ufate.
No wanadahili nimempigia Jana simu sema Kama unachukua diploma wahi hi week ukapply wale wako Moto sio poaKwanini hawadahili MKUU?
umesoma hapo mkuu?Unique Academy sikuhizi hamna kitu, walimu wanabebeshwa vipindi, theory kibao practice hamna sana maana walimu wengi wale competent wameondoka. Msipoteze muda kwenda hapo.