Vyuo vizuri kwa kozi ya IT au computer science

Jcbmmnl

Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Habar zenyu wana JF!
Naomba msaad wenu kwa vyuo vizur ambavyo naweza soma IT au computer science nikatoka na uzoef(theory and practical) ambao utanifany nifanikiwe katka fani hizo either kwa kujiajir au kuajiriwa if possible.
 
Unataka kwa level gani? Cert/Dip au Degree au juu zaidi?
 
Habar zenyu wana JF!
Naomba msaad wenu kwa vyuo vizur ambavyo naweza soma IT au computer science nikatoka na uzoef(theory and practical) ambao utanifany nifanikiwe katka fani hizo either kwa kujiajir au kuajiriwa if possible.
DIT na ATC
 
Kwa bongoland ambako vyuoni ni kutafuta course work na gpa, theory tupu hakuna vitendo fuatilia wahitimu wa hizo koz

Bora hata usomee kilimo kuliko hizo kituu,

Kama ni mtundu na ulikuwa unauwezo toka utotoni sawa, ila kama unategemea lecture za bongoland jipangee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Mkuu kwa ushaur, nitaufanyia kaz panapo majaliw
 
Kwa bongoland ambako vyuoni ni kutafuta course work na gpa, theory tupu hakuna vitendo fuatilia wahitimu wa hizo koz

Bora hata usomee kilimo kuliko hizo kituu,

Kama ni mtundu na ulikuwa unauwezo toka utotoni sawa, ila kama unategemea lecture za bongoland jipangee

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vyuo vyote ni theory . Focus za vyuo zinatofautiana. Ndio maana hata syllabus haziko hazifanani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi natak degree 2, naona inatosh kwa scholarstic education
UDOM naona inapata sifa sana hapa JF. Nasikia pia kuna Unique Academy ya Dar wana degree za IT (siyo CS) ila ada yao iko relatively juu.
 
Kinachomilikiwa na wahind!, vp kipo vizur Mkuu?
 
Wadau, wanaokijua chuo cha Unique Academy vizuri kwenye suala la IT, tufahamishane
 
Kinachomilikiwa na wahind!, vp kipo vizur Mkuu?
Kipo vizuri sana mimi nimesoma pale diploma ya ICT ila sidhani kama wanadahili mwaka huu licha kuwa kipo kwenye guidebook ya 2020/2021
 
Nipo IFM nachukua Computer Science mwaka wa mwisho, kwa ushauri wangu, usiende UDSM hakuna kitu pale wabovu sana bora ukasome siasa ndo wako vzur ila vyuo hiv vifuatavyo ni wako vizuri sana kwenye Practical na theory (Huwezi ikimbia theory kwenye Computer Science ila lazima practs ziwe nyingi sana kama wanavyofanya IFM)
1. Unique Academy
2. Dit
3. Ifm

Hivyo ndo top 3 vyuo ambavyo viko poa but vinavyofuata ni vya kawaida sana.

4. NIT
5. UDsm
.
.
.
 
Back
Top Bottom