mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Haya ndio matunda ya kuomba chuo moja kwa moja, ukishaingia kwenye multiple selection huna hakika nafasi za kweli ziko wapi. Vyuo na waombaji wote wanakuwa gizani wanapoingia round ya pili. Nasikia SUA mwaka wa jana hata baadhi ya walio confirm walijikuta nafasi zao zimechukuliwa na waliowahi hivyo ikabidi kujipanga upya na madarasa mengine yakafurika. Safari hii hata TCU hawajatoa tamko ya nafasi ziko wali na wangapi walikosa round ya kwanza basi wenetu waombe tu huwezi jua waweza pata.Siku hz wanaletwa tu ilimradi siasa imeingia kweny elimu jaribu kuuliza mwakajana mfano Sua ndo utaona hawa watoto watakwambiaje.. Wanafunz walkuwa weng kuliko capacity inayoitajika
ndugu yangu kiswahili ni fursa kwa sasaHivi bado kuna vijana wanachagua kusoma BAED miaka hii? Mbaya zaidi utakuta kwenye hiyo BAED ana chukua Kiswahili as a major Subject
Aaaahkama iyo round ya 2 ni kiini macho.. ile round ya 3 si itakua kipofu macho
Leo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa
Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya wanafunz wanaotakiwa katika koz husikuta nimekuta vyuo vingi vimejaa
Utafit wangu mdogo
Nimeangalia mfano SAUT mbeya unahitaj wanafunz 300 tu kwa koz ya BAED lakin nmechek wamechagua takriban wanafunz mia tano ambao hawapo multiple
Pia Chuo hicho kikatoa majina takriban 400 ya wale ambao wapo multiple
Na sio hicho Chuo tu ni vyuo takriban vyote hali ni hiyo
Je hii round ya pili wamefungua kama kiin macho tu kwa maana TCU hawaelewek yaan hawatoi data kamili ya nafasi zilizobak awamu ya pili ili wanafunz wasihangaike kuomba vyuo vilivyojaa nafasi
Nawasilisha kwenu wanabodi hii imekaaje
Bora ingerudishwa system ya mwanzo.
Hii hapa inawafanya wanagunzi wengi kukosa nafasi matokeo yake hupelekea wao kukaa mtaani mwaka mzima.
Kuna Watu hupata multiple selection.
Yaani hii system ya hovyo Sana.
[/Q sioni sababu ya msingi katk hili ukweli ni kwamba wanafunzi wanaofaulu saiz ni wengi mno ukilinganisha na uwezo wa udahili kwa kila chuo na tatizo jingine liko kwa wanafunzi kwnn wanashindwa kuconfirm kwa wakati ktk chuo alichokipenda endapo anakua amechaguliwa chuo zaid ya kimoja??
Cha ajabu toka wameleta mfumo huu sidhani kama umefanyiwa tathmini yeyote ingawa kila mwaka unaleta majanga ya ajabu. Kama ulivyosema TCU na Ndali wote wameumeza 100% hata baada ya kutahadhirishwa hapa JF kuwa hauna mashiko. Multiple selections hazija pata jibu, na vijana wakiingia raundi ya pili na kuendelea wanakuwa wako gizani hakuna ajuaye nafasi ziko wapi na hata vyuo vyenyewe ukiacha labda MUHAS havijui nani ataconfirm na nani ataamua vinginevyo. Baba kasema nani wa kumuambia baba mfumo huu shida?Magufuli aliwapiga mkwara wakatetemeka wote kuanzia TCU mpaka ndalichako na udokta wake kauweka miguuni anamsikilizia sultan anaamua nini juu ya elimu ya "watanganyika wanyonge".
Hakuna anayeweza kurekebisha hapo mpaka magufuli mwenyewe aamue au atoe maaagizo!Cha ajabu toka wameleta mfumo huu sidhani kama umefanyiwa tathmini yeyote ingawa kila mwaka unaleta majanga ya ajabu. Kama ulivyosema TCU na Ndali wote wameumeza 100% hata baada ya kutahadhirishwa hapa JF kuwa hauna mashiko. Multiple selections hazija pata jibu, na vijana wakiingia raundi ya pili na kuendelea wanakuwa wako gizani hakuna ajuaye nafasi ziko wapi na hata vyuo vyenyewe ukiacha labda MUHAS havijui nani ataconfirm na nani ataamua vinginevyo. Baba kasema nani wa kumuambia baba mfumo huu shida?
Kinadharia inatakiwa kuwa hivyo kiuhalisia kuna ambao hiyo code wanaisikia kwenye bomba tu, na wengine wakipata code wakiingiza mfumo unawatema na hapo ndio kasheshe inapoanzia. Na kama haitoshi bodi ya mkopo hawakupi mkopo kama hawajui uko chuo gani hivyo wako watakao kosa mkopo hata kama wanastahili kwa sababu ya hizi multiple selections.Kwani waliokua multiple selected si wanatumiwa code maalum ya kuconfirm chuo kimojawapo? Tatizo liko wap?
Kuhusu idadi ya wanafunzi chuo huhitaji naona huwa wanaandika tu make mara zote idadi ya wanachaguliwa huwa inazd io ya kwenye guide bookLeo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa
Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya wanafunz wanaotakiwa katika koz husikuta nimekuta vyuo vingi vimejaa
Utafit wangu mdogo
Nimeangalia mfano SAUT mbeya unahitaj wanafunz 300 tu kwa koz ya BAED lakin nmechek wamechagua takriban wanafunz mia tano ambao hawapo multiple
Pia Chuo hicho kikatoa majina takriban 400 ya wale ambao wapo multiple
Na sio hicho Chuo tu ni vyuo takriban vyote hali ni hiyo
Je hii round ya pili wamefungua kama kiin macho tu kwa maana TCU hawaelewek yaan hawatoi data kamili ya nafasi zilizobak awamu ya pili ili wanafunz wasihangaike kuomba vyuo vilivyojaa nafasi
Nawasilisha kwenu wanabodi hii imekaaje