mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Leo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa
Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya wanafunz wanaotakiwa katika koz husikuta nimekuta vyuo vingi vimejaa
Utafit wangu mdogo
Nimeangalia mfano SAUT mbeya unahitaj wanafunz 300 tu kwa koz ya BAED lakin nmechek wamechagua takriban wanafunz mia tano ambao hawapo multiple
Pia Chuo hicho kikatoa majina takriban 400 ya wale ambao wapo multiple
Na sio hicho Chuo tu ni vyuo takriban vyote hali ni hiyo
Je hii round ya pili wamefungua kama kiin macho tu kwa maana TCU hawaelewek yaan hawatoi data kamili ya nafasi zilizobak awamu ya pili ili wanafunz wasihangaike kuomba vyuo vilivyojaa nafasi
Nawasilisha kwenu wanabodi hii imekaaje