Udahili Awamu ya Nne-nini kinaendelea

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,578
7,281
Baada ya kusubiri kwa hamu mambo yamekuwa magumu. UDOM na SUA ndio nimeona wametuwekea ni program gani zina nafasi na nafasi ngapi, Wengine hadi sasa hawajaweka kitu na wengine wametaja program tu bila kuweka wazi nafasi ni ngapi.
Hivyo naona tutaomba awamu hii tukiwa gizani. Lakini pia vyuo vingi vimejaa, niliangalia TIA course ya watu 250 wamesha admit 300+ na bado kuna wenye multiple selection na hiyo ni round ya pili.
 
Duuh, hatari sana... Naona vyuo vingi na course nyingi kabambe zimejaa kama pale Ardhi watu nyomi..
 
Back
Top Bottom