Vyuo vimejaaa awamu ya kwanza ya udahili kinachofanyika second round ni siasa tu

Hakuna anayeweza kurekebisha hapo mpaka magufuli mwenyewe aamue au atoe maaagizo!

CAS ilikuwa nzuri sana isipokuwa labda ilihitaji usimamizi wa karibu tu ili kuepusha malalamiko na tuhuma za udanganyifu.

Otherwise CAS is the best system!

Hakuna kitu kitafanyika hapo mpaka magufuli aseme au atake mwenyewe licha ya kwamba waziri yupo na anajiita 'profesa'.

Hahahaaaaa...

Nilichogundua, Magu anasumbuliwa sana na kelele za wananchi kuliko watendaji wake au Bunge. Kwa mfano:
  • wananchi wa Kusini Mtwara/Lindi walipopiga kelele sana kuhusu Korosho alituma Jeshi kusomba na serikali kununua, lakini wabubge na kelele zote zile hakuwasikiliza.
  • Pension, wananchi/wafanyakazi walipolia walipopigiwa mahesabu ya pension yao na kukaribia kuzimia aliwasikili, wabunge aliwapiga chini licha ya kelele nyingi.
  • Wakulima/wananchi walipolia na mageti ya kodi kila hatua aliagiza kutolewa kwa mageti, wabunge na wasomi aliwapotezea
  • N.k
Kwa hiyo kama maandamano hayaruhusiwi, tutumia social media kupaza sauti zetu mpaka Masikio Ya Magu yafunguke.
Wito kwa wanafunzi, andikeni sana humu JF na katika media nyingine, ilimradi kelele ziwe nyingi na zimfikie.

Nyie wanafunzi ni wengi, na mnatakiwa wote mlililie hili suala, maana kama si mdogo wako basi rafiki yako uliyemuacha kidato cha Tanom cha nne n.k yatamkuta tena haya. Piga kelel uokoe wengine.
 
Back
Top Bottom