Vyuo vimejaaa awamu ya kwanza ya udahili kinachofanyika second round ni siasa tu

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
96
Leo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa

Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya wanafunz wanaotakiwa katika koz husikuta nimekuta vyuo vingi vimejaa

Utafit wangu mdogo

Nimeangalia mfano SAUT mbeya unahitaj wanafunz 300 tu kwa koz ya BAED lakin nmechek wamechagua takriban wanafunz mia tano ambao hawapo multiple

Pia Chuo hicho kikatoa majina takriban 400 ya wale ambao wapo multiple

Na sio hicho Chuo tu ni vyuo takriban vyote hali ni hiyo

Je hii round ya pili wamefungua kama kiin macho tu kwa maana TCU hawaelewek yaan hawatoi data kamili ya nafasi zilizobak awamu ya pili ili wanafunz wasihangaike kuomba vyuo vilivyojaa nafasi

Nawasilisha kwenu wanabodi hii imekaaje
 
Siku hz wanaletwa tu ilimradi siasa imeingia kweny elimu jaribu kuuliza mwakajana mfano Sua ndo utaona hawa watoto watakwambiaje.. Wanafunz walkuwa weng kuliko capacity inayoitajika
 
Haya ndio matunda ya kuomba chuo moja kwa moja, ukishaingia kwenye multiple selection huna hakika nafasi za kweli ziko wapi. Vyuo na waombaji wote wanakuwa gizani wanapoingia round ya pili. Nasikia SUA mwaka wa jana hata baadhi ya walio confirm walijikuta nafasi zao zimechukuliwa na waliowahi hivyo ikabidi kujipanga upya na madarasa mengine yakafurika. Safari hii hata TCU hawajatoa tamko ya nafasi ziko wali na wangapi walikosa round ya kwanza basi wenetu waombe tu huwezi jua waweza pata.
 
Hivi bado kuna vijana wanachagua kusoma BAED miaka hii? Mbaya zaidi utakuta kwenye hiyo BAED ana chukua Kiswahili as a major Subject
 
Serikali hii imejaa wasomi wakubwa sana lakini inaendesha mambo yake very primitive .
 
Bado kunavyuo vinanafasi, sema vile vyuo vyenye majina ndo yawezekana vimejaa ila kunavingine bado nafasi zipo!
 
Bado CAS ilikuwa ni system nzuri kuendelea kutumika hapa bongo..

Mtu unachagua kozi tano,unazipanga kwa priorities then unaanza kupangiwa kufuatana na priority..hakuna mambo ya multiple wala nini..usumbufu kibao
 
CAS ndio jibu la matatizo yote haya. Bahati mbaya wanafunzi hawana la kuamua, wao wanaamuliwa tu. Laiti kama wangeulizwa leo hii wanafunzi wenyewe na wazazi, ninahakika jibu lingekuwa CAS irudi mitamboni.

Si aibu kwa serikali kukubali udhaifu wa uamuzi wao na hatimaye wakubali kurudi kwenye CAS.
 
Bora ingerudishwa system ya mwanzo.
Hii hapa inawafanya wanagunzi wengi kukosa nafasi matokeo yake hupelekea wao kukaa mtaani mwaka mzima.
Kuna Watu hupata multiple selection.
Yaani hii system ya hovyo Sana.
 
Leo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa

Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya wanafunz wanaotakiwa katika koz husikuta nimekuta vyuo vingi vimejaa

Utafit wangu mdogo

Nimeangalia mfano SAUT mbeya unahitaj wanafunz 300 tu kwa koz ya BAED lakin nmechek wamechagua takriban wanafunz mia tano ambao hawapo multiple

Pia Chuo hicho kikatoa majina takriban 400 ya wale ambao wapo multiple

Na sio hicho Chuo tu ni vyuo takriban vyote hali ni hiyo

Je hii round ya pili wamefungua kama kiin macho tu kwa maana TCU hawaelewek yaan hawatoi data kamili ya nafasi zilizobak awamu ya pili ili wanafunz wasihangaike kuomba vyuo vilivyojaa nafasi

Nawasilisha kwenu wanabodi hii imekaaje

Bora ingerudishwa system ya mwanzo.
Hii hapa inawafanya wanagunzi wengi kukosa nafasi matokeo yake hupelekea wao kukaa mtaani mwaka mzima.
Kuna Watu hupata multiple selection.
Yaani hii system ya hovyo Sana.
[/Q sioni sababu ya msingi katk hili ukweli ni kwamba wanafunzi wanaofaulu saiz ni wengi mno ukilinganisha na uwezo wa udahili kwa kila chuo na tatizo jingine liko kwa wanafunzi kwnn wanashindwa kuconfirm kwa wakati ktk chuo alichokipenda endapo anakua amechaguliwa chuo zaid ya kimoja??
 
Magufuli aliwapiga mkwara wakatetemeka wote kuanzia TCU mpaka ndalichako na udokta wake kauweka miguuni anamsikilizia sultan anaamua nini juu ya elimu ya "watanganyika wanyonge".

Futa CAS, fukuza wanafunzi UDOM, futa vyuo, fukuza watumishi, weka GPA, weka division five....

Maagizo ya sultani yakafuatwa!

Hakuna cha ndalichako wala dokta!

Sultani ndio mtawala wa vyote mwenye nguvu zote za kuamua lolote na likafanyika mahali popote na wakati wowote!

Viva sultan!
 
Magufuli aliwapiga mkwara wakatetemeka wote kuanzia TCU mpaka ndalichako na udokta wake kauweka miguuni anamsikilizia sultan anaamua nini juu ya elimu ya "watanganyika wanyonge".
Cha ajabu toka wameleta mfumo huu sidhani kama umefanyiwa tathmini yeyote ingawa kila mwaka unaleta majanga ya ajabu. Kama ulivyosema TCU na Ndali wote wameumeza 100% hata baada ya kutahadhirishwa hapa JF kuwa hauna mashiko. Multiple selections hazija pata jibu, na vijana wakiingia raundi ya pili na kuendelea wanakuwa wako gizani hakuna ajuaye nafasi ziko wapi na hata vyuo vyenyewe ukiacha labda MUHAS havijui nani ataconfirm na nani ataamua vinginevyo. Baba kasema nani wa kumuambia baba mfumo huu shida?
 
Hakuna anayeweza kurekebisha hapo mpaka magufuli mwenyewe aamue au atoe maaagizo!

CAS ilikuwa nzuri sana isipokuwa labda ilihitaji usimamizi wa karibu tu ili kuepusha malalamiko na tuhuma za udanganyifu.

Otherwise CAS is the best system!

Hakuna kitu kitafanyika hapo mpaka magufuli aseme au atake mwenyewe licha ya kwamba waziri yupo na anajiita 'profesa'.

Hahahaaaaa...
 
Kwani waliokua multiple selected si wanatumiwa code maalum ya kuconfirm chuo kimojawapo? Tatizo liko wap?
 
Kinadharia inatakiwa kuwa hivyo kiuhalisia kuna ambao hiyo code wanaisikia kwenye bomba tu, na wengine wakipata code wakiingiza mfumo unawatema na hapo ndio kasheshe inapoanzia. Na kama haitoshi bodi ya mkopo hawakupi mkopo kama hawajui uko chuo gani hivyo wako watakao kosa mkopo hata kama wanastahili kwa sababu ya hizi multiple selections.
 
Leo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa

Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya wanafunz wanaotakiwa katika koz husikuta nimekuta vyuo vingi vimejaa

Utafit wangu mdogo

Nimeangalia mfano SAUT mbeya unahitaj wanafunz 300 tu kwa koz ya BAED lakin nmechek wamechagua takriban wanafunz mia tano ambao hawapo multiple

Pia Chuo hicho kikatoa majina takriban 400 ya wale ambao wapo multiple

Na sio hicho Chuo tu ni vyuo takriban vyote hali ni hiyo

Je hii round ya pili wamefungua kama kiin macho tu kwa maana TCU hawaelewek yaan hawatoi data kamili ya nafasi zilizobak awamu ya pili ili wanafunz wasihangaike kuomba vyuo vilivyojaa nafasi

Nawasilisha kwenu wanabodi hii imekaaje
Kuhusu idadi ya wanafunzi chuo huhitaji naona huwa wanaandika tu make mara zote idadi ya wanachaguliwa huwa inazd io ya kwenye guide book
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom