Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,414
- 15,452
Naona yale ya Commerce & Book Keeping kuwekwa somo moja na Biology & Chemistry kuwekwa somo moja yanaanza kujirudia, kurahisisha rahisisha mamboElimu haina programu isiyo na maana hata siku moja, programu zote zimefanyiwa tafiti na kukubaliwa ziwepo.
Hayana tiba kivipi kwa utafiti upi? Inazuia udahili wa kozi kama sheria, saikolojia na elimu kisa hayana tija kwakoHayo madude ya yaliyofutwa hayana tija ,hii ni akili simple kabisa hata sheria ni masomo ya kufutwa hayana maana ..Sheria ni zetu .
Sheria na saikolojia ,elimu hazina future ukweli usemwe ..Wako sahihi ,sheria inasaidia nn zaidi ya kuzalishwa wakariri vifungu .Hayana tiba kivipi kwa utafiti upi? Inazuia udahili wa kozi kama sheria, saikolojia na elimu kisa hayana tija kwako
Ukishakuwa CHADEMA unakuwa mwehuTechnically vyuo vikuu vinatakiwa kuwa independent kwa kila kitu ili viweze kuwa na mchango sahihi tazama dunia nzima! Hivi vyetu vinavyopangiwa mtaala na masisiemu lazima vitengeneze kizazi cha chawa watukuka!
Ignored... we ni kizazi cha chawa mtukuka so lazima ulipe unakopatia mbogaUkishakuwa CHADEMA unakuwa mwehu
Taja nchi moja tu duniani ambayo vyuo vikuu huwa independent havina usimamizi wa taasisi nyingine
Dogo mbishi sana af kibaya zaidi huwa unatumia mafi kufikiriaSheria na saikolojia ,elimu hazina future ukweli usemwe ..Wako sahihi ,sheria inasaidia nn zaidi ya kuzalishwa wakariri vifungu .
Dah kijana unajianika hovyo kabisa, na kuonyesha utupu 😀Sheria na saikolojia ,elimu hazina future ukweli usemwe ..Wako sahihi ,sheria inasaidia nn zaidi ya kuzalishwa wakariri vifungu .
Kama ulichoandika hapa ,basi ni matokeo ya ujinga ...Eti biashara zinalindwa na sheria ,nyokooo!Dah kijana unajianika hovyo kabisa, na kuonyesha utupu 😀
Najitolea kukujibu katika ufinyu huo huo wa mifano yako. Sheria ni somo pana, linasaidia katika mambo ya utaratibu, haki, uhuru na usalama.
Bila sheria we mTanga tutakuwekea mafuta ya nguruwe katika mafuta ya kupikia na unaweza kujua na usifanye chochote. Biashara zinalindwa na sheria, umesema wanakariri vifungu... ndio nikweli lakini pia wanasaidia kutoa ufafanuzi, mafano wewe Feisal Salum Myanga unajua kusoma na kuandika lakini mktaba tu uliosukwavizuri unaweza kukuingiza Matatizoni, kisha ukaanza kulia vilio visivyo na mantiki kama kulishwa ugali na chumvi,
Saikolojia ni somo kubwa na muhimu sana hitaji lake mojawapo haraka haraka ni pamoja na kusaidia kujua tabia za binadamu na mienendo ya kiakili/ufikiriaji. Wataalamu wa saikolojia wanahitajika sehemu nyingi sana hospitali na mpaka katika biashara.
Wakati mwingine google kwanza kabla haujaponda kazi au fani ambazo zimefanyiwa utafiti wa kina na wataalamu mkuu.