Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,151
- 14,490
Kwanza wizara ya elimu inapaswa ijishughulishe na maswala ya elimu ya msingi, secondary na taaluma za kielimu kama vyuo vya elimu na vyuo vya kati.
Elimu ya juu inapaswa kusimamiwa na taasisi ya maswala ya elimu ya juu pekee. Kipindi cha rais Mkapa pamoja na JK tulikuwa na wizara ya elimu ya juu. Elimu ya juu kuendeshwa sawa na shule za msingi ni tusi kwa wanataaluma na watafiti nchni.
Leo wizara ya elimu inajiamulia tu kufuta udahili kwa baadhi ya programu kwa sababu wao hawaitakii ama hawazijui zinahusu nini. Elimu haina programu isiyo na maana hata siku moja, programu zote zimefanyiwa tafiti na kukubaliwa ziwepo.
Kuna programu na associate programu sasa hawa watu wa wizara ya elimu wanajiamulia tu kusema programu hizi na ile mwaka huu usidahili, jambo ambalo linaweza kupelekea wanafunzi wanaoendelea kwenye programu husika waone kama wamepotea kumbe ni mawazo ya afisa mmoja tu ambaye alisoma kuanzia grade A akaunga unga mpaka akawa daktari wa soshiolojia.