Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Kwani uchaguzi si unafanyika siku moja tu ambayo ni Jumapili na ni siku ya mapumziko, sasa iweje uchaguzi huo uvuruge taratibu za kufuatilia mikopo au ufuatiliaji wa mikopo kuvuruga uchaguzi?
Waraka huo hauna mantiki yoyote ile, na unaweza kupingwa mahakamani na wahusika kama watajipanga vizuri na kupata msaada wa sheria kwa wanasheria waliobobea.
Waraka huo hauna mantiki yoyote ile, na unaweza kupingwa mahakamani na wahusika kama watajipanga vizuri na kupata msaada wa sheria kwa wanasheria waliobobea.