Bakari Maligwa
Member
- Aug 18, 2010
- 65
- 22
Kutoka kwa wachangiaji kuna hoja mbili pingamizi
1. Tuwe na vyuo watu waende chuo bila kujali kiwango cha elimu
2. Tunahitaji wasomi wa vyuo vikuu wapikwe waive.
Kwa kweli hoja namba moja ni kuogopwa kama ukoma. Yaani tudilute elimu ili tuwe na numbers?
Mlimani ya miaka ya sabini ilikuwa kitovu cha elimu, watu wanasoma na kuelimika. Msomi kama ku-challenge na kuelezea your side of teh story huwezi ni kufanya ni upuuzi mtupu.
Nasubiri nione hizo voda faster za UDOM
Wake up guys!
Ukistaajabu ya Musa...
Pale kwenye makutano barabara ya Morogoro na Bibititi kuna bango kubwa, kati ya mengi ya kampeni za CCM, linalosema "UDOM fahari ya CCM. Chagua CCM, chagua Kikwete"
Upumbavu mtupu.
Kwa nini watanzania hawataki kuongelea mambo ya msingi kwa undani. Mfano elimu ya chuo kikuu leo inafanana na ya shule za kata. wakubwa wanatamba majukwani wameanzisha vyuo vikuu vingi kama UDOM. lakini hawaoni matatizo yaliyopo kwenye vyuo hivyo.
Hakuna vifaa,Hakuna Maprofesa,majengo hayatoshi. Watu wenye Masters ndio walimu ambao nao wamesoma kwa kuunga unga tu. vyuo vikuu vya namna hii vitatufikisha wapi.
Mtoto kafaulu kwa kubahatisha darasa la saba halafu kaenda shule ya kata kafaulu kwa kukairiri kaenda chuo kikuu UDOM. Hapa kweli tutasema tumezalisha msomi wa kuiomboa nchi hii katika ulimwengu huu wa utandawzi, soko la pamoja nk. Tanzania inaelekea pabaya. lakini viongozi wetu wanafurahia sifa rahisi rahisi. Wanchi nao wamelewa fikra za kipumavu za zidumu fikra za mwenyekiti. Taifa hili linahitaji mwelekeo mpya . we are in wrong boat and wrong direction.
Acheni watu wasome, hayo ndo maendeleo yenyewe. Nyie mnataka mwe na chuo kimoja kama cha enzi zile??
Acheni hizo, na uhakika mtu aliyefika chuo kikuu hata kama kipo chini ya mwembe ana uelewa mkubwa wa kupambanua mambo kuliko yule wa LY.
Nimekupa senksi mkuu.....sisi wa Tumaini wanatupotezea kabisa wakati tunaongoza kwa uwezo mkubwa makaziniAcha u conservative, Nafkiri wewe ni mmoja kati ya wale watu ,Wanaofikiri mtu aliyemaliza UDSM ndio msomi, waliobaki wote ni FEKI.:becky:
Hivi chuo ni maprofesa tu?
Masters za ungaunga zikoje hizo?
Ni chuo gani duniani ambacho mtu mwenye master hafundishi chuo kikuu?
Elimu ya chuo kikuu inafanana na ya kata kivipi?
Vifaa gani hakuna katika vyuo vikuu?
Main topic ya thread yako ni nini?
Hakuna kitu hapo!
hapo sasa,serikali imejitadi sana katika kuanzisha vyuo vikuu,mtu akifika hapo inamaana kuwa ana upewo na utashi wa kutosha juu ya elimu,maswala ya spoon fiding tuwaachie ly,tutafute material kupitia njia mbalambali mbona net zipo.
Kwa nini watanzania hawataki kuongelea mambo ya msingi kwa undani. Mfano elimu ya chuo kikuu leo inafanana na ya shule za kata. wakubwa wanatamba majukwani wameanzisha vyuo vikuu vingi kama UDOM. lakini hawaoni matatizo yaliyopo kwenye vyuo hivyo.
Hakuna vifaa,Hakuna Maprofesa,majengo hayatoshi. Watu wenye Masters ndio walimu ambao nao wamesoma kwa kuunga unga tu. vyuo vikuu vya namna hii vitatufikisha wapi.
kaaazi kwelikweli:confused2:
Mtoto kafaulu kwa kubahatisha darasa la saba halafu kaenda shule ya kata kafaulu kwa kukairiri kaenda chuo kikuu UDOM. Hapa kweli tutasema tumezalisha msomi wa kuiomboa nchi hii katika ulimwengu huu wa utandawzi, soko la pamoja nk. Tanzania inaelekea pabaya. lakini viongozi wetu wanafurahia sifa rahisi rahisi. Wanchi nao wamelewa fikra za kipumavu za zidumu fikra za mwenyekiti. Taifa hili linahitaji mwelekeo mpya . we are in wrong boat and wrong direction.
Kwa nini watanzania hawataki kuongelea mambo ya msingi kwa undani. Mfano elimu ya chuo kikuu leo inafanana na ya shule za kata. wakubwa wanatamba majukwani wameanzisha vyuo vikuu vingi kama UDOM. lakini hawaoni matatizo yaliyopo kwenye vyuo hivyo.
Hakuna vifaa,Hakuna Maprofesa,majengo hayatoshi. Watu wenye Masters ndio walimu ambao nao wamesoma kwa kuunga unga tu. vyuo vikuu vya namna hii vitatufikisha wapi.
Mtoto kafaulu kwa kubahatisha darasa la saba halafu kaenda shule ya kata kafaulu kwa kukairiri kaenda chuo kikuu UDOM. Hapa kweli tutasema tumezalisha msomi wa kuiomboa nchi hii katika ulimwengu huu wa utandawzi, soko la pamoja nk. Tanzania inaelekea pabaya. lakini viongozi wetu wanafurahia sifa rahisi rahisi. Wanchi nao wamelewa fikra za kipumavu za zidumu fikra za mwenyekiti. Taifa hili linahitaji mwelekeo mpya . we are in wrong boat and wrong direction.
Bado hakuna hoja za maana sana bali mnachoonesha ni kudharau elimu za watu. Kufafanisha na Nigeria sidhani kama kuna data zinazokuonyesha hivyo au ni hisia tu (citation is needed). Hapa watu mnatumia hisia tu kuandika mambo, kwani hamjafanya research ya kuweza kuaminisha umma kama mnavyoamini. Kusema wanaograduate ni madudu, ni kudharirisha watu kwani hauna evidence hata moja. Hapa hamutendi haki hata kidogo hasa kwa kutaka universities chache, Sijui?,inawezekana wewe huoni umuhimu wa hata elimu hio inayotolewa katika vyuo vyetu. Endelea kuchafua watu, hata ivyo watasoma kwa elimu hiohio na watafika weanapotaka. Asante Mkuu.Masters za kuungaunga=za madesa
Unaweza ukwa na master na ukafundisha depending na level/roles utakazokuwa assigned, lakini eventually ni lazima ukachimbe zaidi
Elimu ya chuo kukuu kufanana na kata ni kufungua utitiri wa universities with subpar qualities of education=unatengeneza magraduate butu kama most of Nigerians=scammers, conmen etc.
Vifaaa hakuna Chuo kikuu=wanafunzi mnasikiliza lectures huku mmesimama ama mmekaa chini ya sakafu uliza pale mlimani
Conclusion: Ni bora universities chache but zenye world class quality esp. in terms of academics kuliko kuwa na rundo la vyoo vikuu na wanaograduate ni madudu. Elimu ya nusunusu na ubabaishaji ni HATARI
On a serious note UDOM tunajenga kizazi cha vilaza.
Kuna TETESI Tumaini nako bomu linakaangwa hasa kwa MBA bse nasikia wanafundishwa na wa MBA wenzao
UDOM ina mapungufu mengi, hata kama mmeajiri watu wengi kumbuka hawana sifa hawa watu. Toka lin Tutorial assistant akapewa darasa afundishe? Polen sana!wabongo wanajua kukandia vitu huwezi kufananisha UDOM kwa sasa na kama isingekuwepo, tuwe wakweli jamani tusipindishe kila kitu kwa sababu tu ya hii september na october uchaguzi. UDOM inafanya vizuri kuliko tulivyotegemea imeajiri watu wengi na inasomesha wanafunzi wengi sana bila hivyo hawa watu wangekuwa wapi?????????kuhusu walimu huwa kunakuwa na mchanganyiko mwalimu mbaya na mzuri hata kwenye international school huwezi pata walimu wote wazuri watakuwepo wachache wachovu.