Vyuo vikuu bora hapa Tanzania

Hawamuogopi Museni? Vitafungiwa vingine sio hiki.

Museveni anatisha.
Wapo ndani ya sheria hawamuogopi.
Ingawa wanafunzi wamesoma miaka miwili lkn wamerudi kwao bila mafanikio na ada walilipa, wengine ndo wameenda kujisajili upya vyuo vingine mwaka huu wanaanza moja
 
Kumbe kampala iko vzur in best 10...big up sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…