PRINCEHOPE
Member
- Aug 28, 2013
- 92
- 67
Ndio nn
Kwenye kozi za usafirishaji ni kweli.NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT) ndio bora zaidi sio kwa tanzania tuu hata East Africa
SisiNdio nn
ndio kwa mfano kozi ya logistics and transport management na baadhi ya kozi nyingineKwenye kozi za usafirishaji ni kweli.
well said,hiki chuo ni funga kazi japo wengi hawakielewi vileNATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT) ndio bora zaidi sio kwa tanzania tuu hata East Africa
UTAPELI MKUBWA HAPO!!Kampala International University ndo chuo bora Tanzania,wew huoni kama ni international hicho
kumbuka kuna suala la miundombinu wezeshi kama well equiped mahabara, maktaba n.k, walimu na mifumo madhubuti ya utoaji elimu .vyuo vyote ni sawa,usomaji wako ndo utakaokufanya ufaulu
Hiyo ni tuition center[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT) ndio bora zaidi sio kwa tanzania tuu hata East Africa
Eleza utapeli kivipUTAPELI MKUBWA HAPO!!
nyamaza hujui kitu,hiyo haijapangwa na wabongoHahaaa vyuo vyote ni bora maana inategemea jitihada za wasomaji na hiyo list hapo juu hamna lolote
CHUO KIKUU ARDHINi vyuo vikuu gani hapa kwetu vinavyostahili hadhi hiyo.
yaani visivyo na ubabaishaji ktk elimu.