Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,180
- 138,473
Tafiti nyingi nilizoziona ipo top ten
Tafiti nyingi nilizoziona ipo top ten
babkubwa mkuu,hii mistari ni mizito sana kwa walengwa,ktk tasnia ya mziki wa hiphop tungeiita "16 bars".Mkuu UDSM ndio akina Prof. Mkumbo muda wote kuandika Makala za Magazetini ambazo hata felia ana andika kama uongo wa jana wa ndg yetu Manyerere Jackton
No Strong Publications for the betterment of the Nation!!
Akina Dr. Bana muda wote kuongea uongo ITV na BBC na Prof. Shivji kutuandikia Uongo ktk Katiba!! Daah