UDSM, MZUMBE NA SUA??? Hizi ndo qualifications ili udahiliwe??
kama umesoma vyuo vya porini pole kijana
Vya porini ndo vipi mkuu? natamani nivifahamu kuna mdogo wangu naogopa akisoma vyuo vya mjini ataharibikiwa
kama umesoma vyuo vya porini pole kijana
kama umesoma vyuo vya porini pole kijana
vyote except Udsm,Sua and Mzumbe..
una utani wa ngumi! hivi ifm sio chuo ama kuna shamba la magari pale?
una utani wa ngumi! hivi ifm sio chuo ama kuna shamba la magari pale?
Oya GPA wanaconsider au?
Huko scandnavia ubaguzi!
vyote except Udsm,Sua and Mzumbe..[/QUOTE
Aiseee, duh umenishangaza sana...............