Kama kichwa cha habari kinavyosomeka wadau, Nina million 30 nipo dar natamani nijenge vyumba kadhaa vya kupangisha vya single ila self sasa kwa bajeti hiyo inaweza kutoa vyumba vingapi? Nakaribisha maoni na ushauri
Mkuu Ambrose Koller kila nikitaka kujibu swali lako nasita sbb sijui unataka nyumba ya flavour gani, hali ya kiwanja ikoje, kiko wapi na unalenga kuwapangisha watu wa class gani!! Mfano nyumba yenye King post 1m ni tofauti kabisa kabisa kwny gharama na ya king post 5m, kiwanja tambarare ni tofauti na mabondeni hivyo gharama za ujenzi pia zitakua tofauti. Ushauri wangu weka maelezo ya kutosha na ramani if possible watu wakusaidie.