dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,345
Hmm kakaKule hakufai mzee ikifika saa moja jioni mnaanza kukwepa malaya kila uchocho hapana kwa kweli.
Hmm kakaKule hakufai mzee ikifika saa moja jioni mnaanza kukwepa malaya kila uchocho hapana kwa kweli.
Hapana mzee nimewahi kupita pita mitaa hiyo malaya wengi sana.Hmm kaka
Ila kinyerezi hakuna hizo mambo kamandaHapana mzee nimewahi kupita pita mitaa hiyo malaya wengi sana.
Napafahamu hapo kwa mbele kuna kama cafeteria hivi ktk frem
Malaya huwa Hawaishi vijijiniIla kinyerezi hakuna hizo mambo kamanda
Duuh! Haya banaMalaya huwa Hawaishi vijijini
VyoteMkuu fafanua chumba kimoja epfu 50 au vyote ndo elfu 50.