Vyumba vya kupanga tabata, segerea au kinyerezi

Kwa hiyo unaishi kwenye ile barabara kubwa aisee...?
Daah! Wee jamaa bana pale kuna nyumba kweli zaidi ya ule mjengo wa ridhiwani pembeni ya bodaboda

Yaani nashuka shule navuka upande wa kulia nikiwa natoka town naelekea kule juu shule ya msingi au nashukia msikini
 
Oooh Owkay kama unaenda Hospital au kama unaenda Kariakoo...?

Pale nyumba zipo bhana si pale wanapoweka masofa opposite na wanapouza mauza mzee...!

😃😃😃
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Achana na karikoo.
hospital napita kuna njia flani hivi katikat ya majengo ya shule ya msingi ambapo maji hujaa hapo sasa napandisha kule juu

Kwa ditopile/kwa fara
 
Kule hakufai mzee ikifika saa moja jioni mnaanza kukwepa malaya kila uchocho hapana kwa kweli.
 
Achana na karikoo.
hospital napita kuna njia flani hivi katikat ya majengo ya shule ya msingi ambapo maji hujaa hapo sasa napandisha kule juu

Kwa ditopile/kwa fara

Oooh Owkay mi nipo huu mtaa wa kwanza wenye Casino ya Ridhiwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom