Mangi wa Rombo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 207
- 143
Habari!
Je umechaguliwa chuo Jordan? Ungependa kupanga chumba? Usijali vyumba vipo vyenye hadhi ya wanafunzi wa vyuo kwa bei nzuri!
Nicheki kupitia 0762494688 tukutane nkakuoneshe chumba!
Hivi inakuaje mji wa Morogoro wenye vyuo 4 yaani mzumbe, sua, jordan, motco na wasomi wengi alafu ukose wadau wa JF, je hakuna network huko au!?
Umechaguliwa MORO?
Eeeeh nimechaguliwa moro
Eeeeh nimechaguliwa moro
Hongera mkuu kuchaguliwa Jordan...
Ni chuo kizur Sana...
Asante sana na wewe upo morogoro
No nilikuwa nafundisha part time hapo mwaka Jana but mwaka huu nimeshindwa kazi nyingi....
Wana kazi nyingi eeeh.Ok poa asante
Hapana sio hapa ni huku ninakofanyia kazi ndo maana nikashindwa kujigawa....
Umechaguliwa course gani?
karibu sana jordan Honey Faith untatukuta