Vyumba vya kupanga Jordan-Moro

Vyumba vya kupanga Jordan-Moro

Mangi wa Rombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
202
Reaction score
138
Habari!
Je umechaguliwa chuo Jordan? Ungependa kupanga chumba? Usijali vyumba vipo vyenye hadhi ya wanafunzi wa vyuo kwa bei nzuri!
Nicheki kupitia 0762494688 tukutane nkakuoneshe chumba!
 
Habari!
Je umechaguliwa chuo Jordan? Ungependa kupanga chumba? Usijali vyumba vipo vyenye hadhi ya wanafunzi wa vyuo kwa bei nzuri!
Nicheki kupitia 0762494688 tukutane nkakuoneshe chumba!

Unachukua shilingi ngapi za udalali kabla ya kuona vyumba.!?

Inasemekana vijana wengi wamepangisha kwenye yale mabanda ya maonyesho 8-8 na sasa je hivyo vyumba vyenye hadhi ni eneo lipi ikiwa Kola na Nanenane ni nyumba binafsi zaidi!?

Weka bei za self contained ulizonazo!?
 
Hivi inakuaje mji wa Morogoro wenye vyuo 4 yaani mzumbe, sua, jordan, motco na wasomi wengi alafu ukose wadau wa JF, je hakuna network huko au!?
 
Hivi inakuaje mji wa Morogoro wenye vyuo 4 yaani mzumbe, sua, jordan, motco na wasomi wengi alafu ukose wadau wa JF, je hakuna network huko au!?

tupo wengi wa Moro town sema post zako labda azina logic ndomana unakosa wadau...
 
Ni hivi,karibu na Jordan kuna hostel binafsi za watu 3,6,4,2, na unalipa 360000,400000,350000 per annum but ukitaka kupanga kwa mtu chumba chenye usalama 65000,70000,per month
 
Bei ya vyumba Huko 8-8 imekuwa sawa na Survei Dar es Salam. Haya sasa akina Nkude, mloka na nyie sasa msiponunua PASSO hakika mkahamishe ule Mlima maana fursa mmepewa na HESLB kutumia boom la wasomi
 
Back
Top Bottom