Vyumba vya kupanga dodoma

Vyumba vya kupanga dodoma

Borderlandz

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
548
Reaction score
729
Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please!
 
Hata mimi pia natafuta eneo lolote zur lakin kiwe cha elf ishirin
 
Mwambie akifika Dodoma aende maeneo ya ccm makao makuu kwa upande wa pili kuna kituo cha mafuta karibu forts building kuna madalali awaulizie kuhusu chumba
 
Back
Top Bottom