Vyumba vya Biashara/Ofisi vipo Kijitonyama

Vyumba vya Biashara/Ofisi vipo Kijitonyama

hebronipyana

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
265
Reaction score
78
Vyumba vipo Kijitonyama kwenye makutano ya Barabara ya Kajenge na Mtaa wa Bukoba,Vinafaa kwa ofisi,ghala ndogo za vifaa au bidhaa mbalimbali,Kodi yake ni nafuu sana,Parking ya Magari ipo ya kutosha,anayehitaji awasiliane nasi kwa namba zifuatazo;-

0784822161 / 0767822161 / 0658822161 /0754589023 / 0655779023.

Wote mnakaribishwa.

WAHI SASA MARA USOMAPO POST HII.​
 
weka picha ndugu.
Mbona unaweka tangazo lenye ushawishi Mdogo!
 
Hiyo kodi nafuu sana iko kwenye Tsh au ni dinar??
 
Kuna viwili ambavyo ni 300,000/= kila kimoja na kuna kingine kimoja ambacho ni kama ukumbi unaoingiza watu kama 80 hivi na wote wakakaa comfortably,ambao unaweza ukaufanyia partition au ukaufanya kama ghala ndogo huo unaenda kwa 900,000/=,na pana space ya kupaki hata magari 30 kwa wakati mmoja ndani ya fence kwa usalama kabisa.Samahani sijafanikiwa kubandika picha simu yangu inanisumbua kidogo kwa yeyote anayehitaji hizo fremu hatajuta akifika hapo kujionea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom