Vyumba vya biashara(fremu) zinauzwa. Vipo vyumba 11 na stoo ndogo vyenye hali nzuri,vyoo viwili na bafu.Zina Eneo la kutosha la kuegesha magari.Kuna usalama wa kutosha kwani ni karibu sana na polisi,zina umeme na si mbali na huduma mbalimbali za jamii.Bei ni milioni 110/=,hiyo ni kianzio inaruhusiwa kuongea. Zipo KIMARA-TEMBONI (ZINAPAKANA NA POLISI TEMBONI NJIA PANDA KUELEKEA MATOSA) kwa mawasiliano piga namba; 0716800204,0712612113.. au email firstajep@ymail,com