Vyumba vya biashara(fremu) zinauzwa,bei ni maelewano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyumba vya biashara(fremu) zinauzwa,bei ni maelewano.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Vodka, May 31, 2012.

 1. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Vyumba vya biashara(fremu) zinauzwa. Vipo vyumba 11 na stoo ndogo vyenye hali nzuri,vyoo viwili na bafu.Zina Eneo la kutosha la kuegesha magari.Kuna usalama wa kutosha kwani ni karibu sana na polisi,zina umeme na si mbali na huduma mbalimbali za jamii.Bei ni milioni 110/=,hiyo ni kianzio inaruhusiwa kuongea. Zipo KIMARA-TEMBONI (ZINAPAKANA NA POLISI TEMBONI NJIA PANDA KUELEKEA MATOSA) kwa mawasiliano piga namba; 0716800204,0712612113.. au email firstajep@ymail,com
   
Loading...